Klopp aliwaacha Liverpool wapambane na hali yao

Rai - - MAKALA JASMEPITIEMBA - KELVIN LYAMUYA NA MITANDAO

NDIO, ni kweli kabisa Liverpool ilibaki na ukiwa mara tu baada ya Sadio Mane kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Man City wikiendi iliyopita.

Ila kocha wao, Jurgen Klopp alizidisha ukiwa huo kwa kupotea zaidi wakati vijana wake walipomhitaji kwenye wakati mgumu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.