AU iache kuwa kundi la kulindana baina ya wezi wa kura

Rai - - MAONI/KATUNI -

Hali ya kulindana kwa kukithiri iliyomo ndani ya serikali nyingi Barani Afrika ndiyo sasa hivi imo pia katika Umoja wa Afrika (AU) – muungano uliobuniwa miaka 16 iliyopita kusimamia masuala ya Afrika, yakiwemo ya uchumi, maendeleo, siasa, amani na mengineyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.