MAKAMU

Uhuru - - Habari - (Na Mpigapicha Wetu).

wa Rais wa Operesheni za Kampuni ya Uranium one, Andua Shutor, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, jana kuhusu uchimbaji wa madini ya Urani katika mradi wa Mkuju, mkoani Ruvuma. Katikati ni Makamu wa Rais wa Maendeleo ya Kimataifa wa kampuni ya Rosatom, Vladmir Hlavinka na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mantra Tanzania, Frederick Kibodya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.