MENEJA

Uhuru - - Afya Na Mazingira -

Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma ya Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses, akizindua jengo la vyoo vya walimu wa Shule ya Msingi Ipinda wilayani Kyela mkoani Mbeya viliyogharamiwa na TPB kwa sh. milioni tisa. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Ipinda, Saadat Sam, kulia ni Mkuu wa Takwimu na Vifaa katika ofisi ya Ofisa Elimu Wilaya ya Kyela, Lusian Kavishe na katikati ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Subira Gwakabale

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.