MWAKILISHI

Uhuru - - Habari -

Mkuu wa Umoja wa Ulaya (EU) katika Afrika Mashariki, Balozi Roeland Van de Geer, akitoa hotuba katika warsha ya siku mbili ya kujadili jinsi ya kuwalinda na kuwasaidia watoto walioathirika na biashara ya kusafirisha binadamu nchini. Katikati ni Katibu wa Sekretarieti ya Kitaifa ya kuzua na kupambana na biashara hiyo katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Separatus Fella na kulia ni Mratibu wa Mradi wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM), Tamara Keating. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.