Obado: Acha maandamano

Taifa Leo - - Barua -

BAADHI ya wananchi wa Kaunti ya Migori walijitosa barabarani kwa maandamano kulalamikia kile walichodai kuwa dhuluma za haki dhidi ya gavana wao Okoth Obado, huku wakitaka aachiliwe huru.

Hii ni licha ya bado kuwa mshukiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Bi Sharon Otieno ambaye alikuwa mpenzi wake.

Cha msingi ambacho wananchi hawa wanapaswa kufanya ni kuipa mahakama na idara husika zinazochunguza kifo hicho muda wa kufanya upelelezi na hatimaye kutoa uamuzi mwafaka na haki.

Maandamano yao hayatashawishi mahakama kivyovyote vile.

MWANAMAONI, Kupitia Barua Pepe

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.