Bunge lilitusaliti sasa tumaini la pekee ni Mungu

Taifa Leo - - Barua -

Wakenya walipigwa kumbo na bunge lilipopitisha mswada ulioongeza ushuru wa bidhaa muhimu. Lakini si hoja, kwani aliyetuumba na akaumba dunia yuko nasi tangu

mwanzo hadi mwisho na atatuonekania hata katika kipindi hiki kigumu.

CHARO MZEE, Embu

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.