Real yamtengea Neymar mabilioni

Taifa Leo - - Gumzo La Spoti -

Klabu ya Real Madrid imeweka kando zaidi ya Sh50 bilioni ili kuwania huduma za nyota wawili ama mmoja kwa ajili ya kujisuka upya kwa msimu ujao, lakini hainuii kumpiga bei kiungo Luka Modric. Kulingana na vyombo vya habari nchini Uhispania, Real ina uwezo wa kuwanasa Neymar, Kylian Mbappe na Eden Hazard.

Kwingineko, klabu ya West Bromwich Albion inaendelea kutafakari kuhusu uwezekano wa kusajili waliokuwa nyota wa Norwich City, Wes Hollahan na Russell Martin. Nchini Uingereza, Man-united na Chelsea zinazidi kung’ang’ania huduma za mlinzi Kostas Manolas wa Ugiriki anayechezea AS Roma, Italia kwa sasa.

Neymar Jr wa PSG

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.