Hazard hashikiki, thamani yake imepanda maradufu

Taifa Leo - - Gumzo La Spoti -

Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Ian Wright anayefanya kazi ya uchambuzi wa masuala ya soka kwenye televisheni ya Sky Sports amesema staa Eden Hazard ameiva kiasi cha kufikia kiwango cha kupata nafasi katika vikosi vya

Real Madrid na Barcelona.

Kiungo huyo mshambuliaji wa Chelsea amekuwa akihusishwa sana na mpango wa kuondoka Stamford

Bridge na kuhamia

Santiago Bernabeu, nyumbani kwa Real; lakini mara nyingi mambo yamekuwa yakikwama. Mbelgiji huyo ni tegemeo kubwa la kocha mpya wa Chelesa, Maurizio

Sarri.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.