FUMBO

Taifa Leo - - Fumbo & Falaki -

KULIA

1. Kamilisha msemo: Tamaa mbele -------- nyuma.

7. Watu wanaotokana na kizazi fulani.

8. Itikadi.

9. Ufupisho wa jina la Kiingereza la Chama cha Maonyesho ya Kilimo Kenya.

10. Usafi ambao unahitajika kwa Muislamu kabla ya kwenda msikitini kuswali.

11. Karatasi moja katika kitabu yenye maandiko au picha pande zote.

13. Kitabu cha mwisho kwenye sehemu ya Agano jipya katika Biblia.

14. Mazoea ya kitu unachopenda sana kukitum ia.

17. Pigana kwa sababu, ajili au niaba ya.

21. Kitongaji.

22. Tunasema jitu --------, yaani kumaanisha limezeeka.

23. Jambo au mambo mema anayopata mtu kutokana na uwezo wa Mungu.

24. Agiza au kanya kwa maneno yenye hekima.

25. Kitu chochote kinachotumiwa kuashiria na kutambulisha.

CHINI

1. Njia za kufanyia jambo fulani zenye hila au ujanja.

2. Mtu anayependa sana kuchunguza na kupata habari za watu wengine kisha kuzieneza.

3. Jibu unapoitwa.

4. Utwezo.

5. Uamuzi unaotolewa na jaji.

6. Mambo.

12. Aina moja ya kifaa kilicho muhimu katika uandishi.

15. Inatoa matunda.

16. Hali ya kujitenga na wengine.

18. Fuko kubwa linalotumiwa na watu kwa kutilia nafaka.

19. Nzuri.

20. Atafuta mtu au mnyama kwa lengo la kumkamata.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.