Mchongoano

Taifa Leo - - Mikiki -

Budako mblack akilala kwa road madere wanafikiri ni speed bump

We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu

Milango ya gari yenu huwa inafungwa na vifungo vya shati

Budako huhepa ngumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata nyasi

Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa

Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumia kama steel wool

Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa

Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S. Africa na hana passport

We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers

We ni mweusi hadi mbu wakitaka kukuuma huitisha torch

Kwenu mko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.