VITENDAWILI

Taifa Leo - - Mikiki -

1.Nina badilika umbo langu baada ya kila muda mfupi.

2.Ninachimba mizizi ya mti usio na mizizi. 3.Ninacho, nakitumia, lakini kila nikitumiapo, sikiharibu ila nakipa rangi.

4.Ninakula vitu vyote vinono lakini sikui wala sinenepi.

5.Ninakwenda naye na kurudi naye.

6.Ninao mlima ambao una msitu kileleleni tu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.