Rooney ayapachika wavuni mabao 2 na kutambisha DC Utd

Taifa Leo - - Spoti - NAHODHA

wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Wayne Rooney alifunga mabao mawili katika ushindi wa

5-0 uliosajiliwa na waajiri wake wa DC United dhidi ya Montreal Impact. Ushindi huo unawaweka DC United katika katika nafasi maradhawa ya kufuzu kwa mechi za mchujo katika msimu wa kwanza wa Rooney katika Major League Soccer (MLS). Zikisalia mechi mbili Zaidi msimu huu, ni pengo la alama mbili pekee ndilo linawatenganisha DC United na Montreal ambao wanahitaji kusajili ushindi mara moja pekee katika michuano iliyosalia ili kufuzu. Bao la kwanza la Rooney lilifanya mambo

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.