Tuepuke ulevi msimu huu wa sherehe nyingi

Taifa Leo - - Barua - GATOBU WA MUTHOMI, Shule ya Upili ya Rugetene

TAYARI tumeingia katika msimu wa likizo na shamrashamra za sherehe hususan za Krismasi. Nawatadharisha wananchi dhidi ya ulevi wa kupindukia. Aidha, nazikumbusha idara husika kuwa macho dhidi ya pombe haramu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.