Vitendawili na Methali

Taifa Leo - - Mikiki -

METHALI

1. Adhabu ya kaburi ..............

2. Akiba ..........

3. Asifuye mvuwa , ..............

4. Akili nyingi , ...............

5. Asiye kubali kushindwa, ............ 6 ............. na jua hujuwa.

VITENDAWILI

1. Aliwa, yuala; ala, aliwa.

2. Amchukuapo hamrudishi.

3. Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi.

4. Amefunua jicho jekundu.

5. Ameingia shimoni akiwa uchi, akatoka amevaa nguo nzuri.

6. Amejitwika mzigo mkubwa kuliko yeye mwenyewe.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.