Salamu

Taifa Leo - - Mikiki -

Ni CATHERINE MUKAMI wa Nakuru. Salamu wa Harry, Wamaitha, Sue, Deno na watu wote wa mtaa wa Pipeline. Amani idumu kati yetu kila wakati.

Mimi MBUVI NZAINGA 'MUKUKU' nikiwa Buruburu.salamu kwa mke wangu Jane.muasya na Kivandi wakiwa Nairobi, Cornelius Mutisya, Kaloki Nzilimani, King'oo Kisilu wakiwa Kaviani Mkt

Mie ni DANIEL LUBETA wa ANTUBETWE Kiongo.nawasabahi akina Jacob Kimomo, Paul Orwaru, Alex Odhiambo, Enock Otieno, Mazera Wabungo, Sam Plumber Muchiri, Moses Imbwaga, Beatrice Jacob, Kinyua Bin King'ori, Jumaa Mwadilo, Silas Muinde, Benedict Safari na Ayub Muroki Kinyambu.

Ni SILAS MUINDE nikiwa Kiembeni estate. Zangu ziwaendee Gladys Muthoki, James Musau, David Wambua,wesley Oki Agera, Plumber Muchiri, Peter Kitush,sam Kimatu, Sam Kibonge bila kusahau jina kubwa Kinyua bin King'ori na wengine.

JANET WANZA wa Machakos Kaunti. Salamu kwa watoto wangu Caleb Mutinda na Nicole Mwongeli, wazazi wangu mama Redempta Mwongeli, ndugu na dada zangu popote walipo

MOHAMED AKWABI wa Nairobi anatuma salamu kwa Teresa Akwabi akiwa Nairobi, Dkt Abdi Noor, Agatha Murithi, Peter Onyango akiwa Kisumu na, Ali Athuman

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.