Wazidi kupigania haki

Taifa Leo - - Habari Za Afrika Na Dunia - Picha/ AFP

WAANDAMANAJI wainua mikono jijini Paris, Ufaransa jana walipokuwa wakipinga ushuru wa juu unaosababisha gharama ya juu ya maisha. Maandamano haya yanayoendelea kwa wiki ya pili sasa yanahofiwa kusababisha ghasia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.