Fumbo

Taifa Leo - - Fumbo & Falaki -

KULIA:

4. Kamilisha: ------- ni moyo usambe ni utajiri.

7. Ujumbe wa watu walioteuliwa kufanya kazi ya kuchunguza jambo fulani kwa niaba ya serikali.

8. Kitu kilichoongezwa.

10. Bidii au jitihada. Pia pilkapilka.

12. Mnyama wa jamii ya tumbiri lakini mkubwa zaidi.

13. Enda na kukaa mahali mchana kutwa.

15. Aina ya wazimu.

16. Mwana wa ng’ombe.

17. Faida anayopata mtu baada ya kufanya biashara.

21. Kiumbe kinachodhaniwa kuwa kinaishi na kina uwezo wa kujibadilisha katika hali mbalimbali.

23. Kamilisha: Mwanzo wa ngoma ni ------.

24. Mwanzo au chanzo cha kitu.

1. Wiki

2. Amba

3. Kitu anachopewa mgonjwa ili apone.

4. Kizuizi kinachokaa juu au chini ya madirisha au milango.

5. Toka angani na kusimama juu ya kitu.

6. Onya au kataza.

9. Ulimwengu.

11. Kitendo cha kutoa udhamini.

14. Cheo au utukufu.

18. Umbile la mtu lililo usoni.

19. Kamilisha: ------ na fila havitangamani.

20. Jinsi mambo yalivyo.

21. Toa kiumbe kichanga.

22. Asiyekuwa na.

CHINI:

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.