Mpenzi bado ana nambari ya simu ya kisura wa awali

Taifa Leo - - Fumbo & Falaki -

Hujambo Shangazi? Mimi nahisi kuwa mwanamume mpenzi wangu ananidanganya. Sababu ni kuwa, bado anaweka nambari ya simu ya mpenzi waliyeachana. Nashangaa ni kwa nini bado anaweka namba hiyo kama kweli waliachana. Nishauri.

Kupitia SMS

Huenda mpenzi wako aliamua kuwa wataendelea kuwa marafiki na huyo wake wa zamani hata baada ya kuachana. Kama una wasiwasi kuhusu yeye kuendelea kuwa namba hiyo, ni vyema ushauriane naye kuhusu jambo hilo badala ya kulinyamazia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.