Naogopa kujamiiana

Taifa Leo - - Fumbo & Falaki -

Shangazi nina mpenzi tunayependana sana na tumekuwa pamoja kwa mwaka mmoja sasa. Ameahidi kunioa na amekuwa akiniomba mahaba lakini naogopa kwani sijawahi kufanya hayo maishani mwangu. Nishauri. Kupitia SMS

Jambo analotaka mwenzako litategemea hiari yako wala si lazima. Hasa, tendo la ndoa linafaa kusubiri hadi watu wanapooana ingawa baadhi ya watu hukubaliana kuanza mapema. Kama unahisi huwezi kwa sasa, mwambie mwenzako na umuelezee sababu. Kama kweli anakupenda ataelewa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.