Mimi sina hisia naye

Taifa Leo - - Fumbo & Falaki -

Mimi ni msichana wa umri wa miaka 21. Ninaye kijana wa umri wa miaka 23. Tumekaa naye kwa miaka miwili lakini hiyo miaka miwili tumesumbuana naye kwa sababu mimi sina hisia naye na wala sijisikii kutosheka naye. Juzi nilimpigia simu nikamwambia aachane nami. Aliniambia ataniachia lakini amedharau maisha yangu. Kupitia sms

Ni vyema umemwambia huyo mwenzako ukweli wa mambo. Kwani uhusiano haulazimishwi bali ni hiari. Hivyo hatua uliyotenda ni ya muhimu mno.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.