Kaiyaba yalenga taji la Kamau leo

Taifa Leo - - Spoti - Na Duncan Mwere

FAINALI ya soka na voliboli ya mashindano ya Joe Kamau Cup itafanyika leo ambapo kikosi cha soka cha Kaiyaba kitaonana na Kianjogu saa nane alasiri ugani Kaiyaba, Karatina. Kwenye voliboli ya wanaume, Mbogoini itapepetana na Karogoto huku Wakamata na Kiangoma wakivaana kutafuta mshindi wa nafasi ya tatu. Katika fainali ya kinadada, Kanyama itachuana na Wakamata. Washindi watapokea pesa taslimu, mipira na jezi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.