Tisha Tisha tisho kuu la Limosingo

Taifa Leo - - Spoti - Na Oscar Kakai

TISHA Tisha FC walidhihirisha umahiri wao kwa kuwanyuka Limosingo 4-1 katika mechi ya kupimana nguvu Ijumaa. Tisha Tisha iliona lango dakika ya 13 kupitia George Engelai. Bao la pili lilifungwa na Francis Nanok kabla ya Dominic Tioko na Julius Ekibur kumalizia. Edward Lochero alifungia Limosingo bao la kufutia machozi dakika ya 82.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.