Real kuvunja benki ili kupata Kane

Taifa Leo - - GUMZO LA SPOTI -

TETESI zinasema Tottenham Hotspur iko tayari kutumia kila mbinu kukwamilia nyota wake mvamizi Harry Kane. Moja ya mbinu hizo, gazeti la AS limesema, ni kuwekea miamba wa Uhispania, Real Madrid bei ya kutisha ya Sh40.8 bilioni. Ada hii kubwa itapiku ununuzi wa Cristiano Ronaldo kutoka Madrid hadi Juventus (Sh14 bilioni), Philippe Coutinho kutoka Liverpool hadi Barcelona (Sh16.3 bilioni), Kylian Mbappe kutoka Monaco hadi Paris Saint-germain (Sh21.7 bilioni) na rekodi ya dunia ya Sh26.7 bilioni ambayo miamba hawa wa Ufaransa walilipia kuvua Neymar kutoka Barcelona. Mwaka 2017, Barca ilitumia mbinu ya kutangaza

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.