Man-utd sasa wataka nipe-nikupe na Juve ili imwachilie kiungo Pogba

Taifa Leo - - GUMZO LA SPOTI -

FUNUNU kwamba Juventus inatafuta huduma za kiungo wa Manchester United Paul Pogba zilikuwa zimezima kwa karibu majuma mawili. Hata hivyo, uvumi umeibuka tena baada ya vyombo vya habari nchini Italia kuripoti kwamba United inalenga kuuza mshindi huyu wa Kombe la Dunia na imetangazia Juventus ofa ya itakayohusisha kubadilishana wachezaji. Mara kadhaa, United imekuwa ikihusishwa na mchezaji wa Juventus Douglas Costa. Hata hivyo, ripoti ya kubadilishana wachezaji huenda isiwezekane kwa sababu United bado inaamini katika ufundi wa Pogba. Wakati kulikuwa na mvutano kati ya Pogba na Jose Mourinho, kulikuwa na imani kubwa kwamba United itafurahia kuachilia kocha huyo

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.