FUMBO

Taifa Leo - - FUMBO & FALAKI -

KULIA:

1. Mambo yanayomzunguka kiumbe mahali anapoishi.

7. Omba kwa dhati na kwa unyenyekevu.

8. Faragha yake huishia kokoni.

9. Toa harufu mbaya kama ya kitu kilichooza.

10. Ukwasi.

12. Amepata mtoto au watoto.

13. Tumaini.

16. Mabaki.

20. Wiki.

21. Apate kulipa.

22. Desturi za kawaida za watu wa kabila au kundi moja.

23. Sehemu moja ya kitu kizima kilichogawanywa katika sehemu sita zilizo sawa.

CHINI:

1. Aina ya upanga unaotumiwa kuwa silaha.

2. Chochote kilichozidi kiasi cha kawaida.

3. Tunda au matunda ya mgomba.

4. Jibu unapoitwa.

5. Tamko la kuonyesha shukrani.

6. Hutolewa kwa maneno na pia kwa kusema.

11. Anguka ndani ya maji kwa ghafla na kwa kasi.

14. Kaa kimya.

15. Ukiona zinduna nayo ipapo.

17. Ulizo.

18. Ororo.

19. Dhulumiwa

Newspapers in Swahili

Newspapers from Kenya

© PressReader. All rights reserved.