Mwingine aingia kuinoa Arsenal

Bingwa - - MBELE -

JINA la kocha Unai Emery limeongezeka

katika orodha ya wanaotajwa kwenda kukalia kiti cha Arsene Wenger.

Emery raia wa Ufaransa ambaye hivi karibuni alithibitisha kuwa atatimka PSG, anaungana na Massiliano Allegri anayehusishwa pia na kibarua hicho.

Kabla ya kutua PSG, mkufunzi huyo alijijengea jina kubwa akiwa na Sevilla ya La Liga, aliyoipa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Europa kwa kipindi kifupi cha miaka mitatu aliyokaa klabuni hapo.

Miaka yake miwili katika benchi la ufundi la PSG imezaa vikombe saba licha ya kushindwa kuing’arisha Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.