Buffon: Kustaafu? Mhh!

Bingwa - - MISIMAMO RATIBA -

TURIN, Italia

MLINDA mlango mkongwe wa timu ya Juventus, Gianluigi Buffon, amekiri kuwa, anahofia kuhusu suala la kustaafu, alipokuwa akitarajiwa kufanya hivyo hivi karibuni.

Buffon alitarajiwa kutangaza hatima yake kama ataendelea na soka au la jana Alhamisi.

Hapo kabla, Buffon alinukuliwa akisema kwamba, angetundika daluga mwishoni mwa msimu huu, labda Juve washinde taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na alikuwa akitamani kushiriki mashindano ya Klabu Bingwa ya Dunia.

“Nisiwaongopee. Naogopa kustaafu, lakini kimsingi natafuta kitu cha kufanya ili nikiachana na soka nisihangaike tena,” alisema Buffon.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.