Barca yamweka sokoni Dembele

TIMU ya Barcelona imeamua kumuweka sokoni rasmi staa wake, Ousmane Dembele.

Bingwa - - WEEKEND SPORT -

Mabingwa hao wa soka Hispania kwa sasa wapo katika mazungumzo na Liverpool kuona kama ataweza kumpisha straika wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.