Urusi kuivaa Canada mpira wa magongo

TIMU ya Taifa ya Urusi itavaana na Canada katika mchezo wa fainali wa michuano ya mpira wa magongo, baada ya juzi kupoteza mchezo wake dhidi ya Sweden katika mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi.

Bingwa - - MAKALA | HABARI -

Kwa matokeo hayo yameifanya Urusi kushika nafasi ya pili katika msimamo wa kundi A ikiwa na pointi 16 ambayo yanaifanya ikutane na Canada ambayo inashika nafasi ya tatu Kundi B. Mechi hiyo ya robo fainali kati ya Urusi na Canada, inatarajiwa kupigwa leo mjini Copenhagen. Sweden ndiyo inayoongoza katika kundi lao ikiwa na pointi 20 huku Jamhuri ya Czech ikiwa ya tatu baada ya kujikusanyia pointi 15 ikifuatiwa na Uswisi yenye pointi 12 na Jamhuri ya Slovakia inashika nafasi ya nne ikiwa na pointi 11.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.