KARIBU BONGO...

Bingwa - - HABARI -

Nyota wa zamani wa Barcelona, Samuel Eto’o, akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuzindua mradi wa ujenzi wa uwanja mpira aina ya ‘5-A Side Soccer’ eneo la Oysterbay unaojengwa na Kampuni ya TBL. Kushoto ni Meneja Masoko wa Castle Lager, Pamela Kikuli Na Mpigapicha Wetu

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.