ENZI HIZO

Bingwa - - IJUMAA SPESHO -

Filamu ya Total Recall inamhusu mfanyakazi wa kampuni ya ujenzi, Douglas Quaid, alikuwa na ndoto ya kwenda kwenye sayari ya Mars, lakini mke wake, Lori alikuwa akimpotezea ndoto hiyo akilini mwake na kumkatisha tamaa. Lakini baadaye Quaid aliamua kupanga safari hiyo ya kukumbukwa ila katika safari hiyo kuna mambo yakaenda vibaya. Filamu hiyo ilitoka mwaka 1990 ikiongozwa na Paul Verhoeven na kuchezwa na Arnold Schwarzenegger, Rachel Ticotin, Sharon Stone, Ronny Cox na Michael Ironside.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.