OVERLORD

Bingwa - - IJUMAA SPESHO -

KATIKA sherehe moja wanaharakati wa Marekani wanajisahau na adui wanapenya kupitia ukuta wa kanisa na kuingia kwenye kambi ya jeshi na kuharibu mfumo wa redio. Baadaye wanagundua kwamba wameingilia katika eneo lao la kazi na hapo ndio kinaanza kimbembe…

Filamu hiyo inayotarajiwa kuzinduliwa Novemba 9, 2018, nchini Marekani, imeongozwa na Julius Avery na kutayarishwa na J.J. Abrams, Lindsey Weber, ikichezwa na Wyatt Russell, Iain De Caestecker, Jovan Adepo na Pilou Asbaek.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.