Willian afurahia kuwa chini ya Sarri

Bingwa - - HABARI -

LONDON, England

KIUNGO wa Chelsea, Willian amefurahia kucheza na kunolewa chini ya kocha, Maurizio Sarri, baada ya kutokuwa na uhusiano mzuri na Antonio Conte.

Willian mwenye umri wa miaka 30, aliweka wazi hilo wakati akihojiwa na waandishi wa habari huku akisema kuwa kwa sasa ameyaweka kando yaliyotokea msimu uliopita alipokuwa na Antonio Conte na anafurahia maisha mapya na kocha huyo mpya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.