Mancini achoshwa na ukame wa kushinda

Bingwa - - HABARI -

MILAN, Italia

KOCHA wa timu ya taifa ya Italia, Roberto Mancini, amesema amechoshwa na matokeo mabovu ambayo wamekuwa wakiyapata katika mechi tano mfululizo baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Ukraine, mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia jana.

Kwa mujibu wa takwimu, mara ya mwisho kikosi cha Italia kuwa na mwendelezo wa matokeo mabovu namna hiyo ilikuwa ni mwaka 1925.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.