Bonucci kufata nyayo za Allegri

Bingwa - - HABARI -

TURIN, Italia

BEKI kisiki wa timu ya Juventus, Leonardo Bonucci, amesema siku moja angependa kuwa kocha wa miamba hao na kufuata nyayo za mwalimu wake, Masimilliano Alegri, atakapostaafu kucheza soka.

Bonucci mwenye umri wa miaka 31, ameonyesha nia yake hiyo ikiwa ni ndoto zake alizonazo kwa muda mrefu, kuja kukinoa kikosi hicho katika siku za usoni.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.