Deschamps ampa Henry kazi Monaco

Bingwa - - HABARI -

PARIS, Ufaransa

KOCHA wa Mabingwa wa Dunia, Ufaransa, Didier Deschamps, amemshauri nguli wa zamani wa kikosi hicho, Thierry Henry kuwa kocha wa timu ya Monaco.

Kwa sasa mshambuliaji huyo wa zamani wa Arsenal anatajwa kuwa huenda akachukua nafasi ya kocha Leonardo Jardim aliyetimuliwa na mabingwa hao wa zamani wa Ligue 1.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.