Thiago Alcantara amkana Zidane

Bingwa - - HABARI -

MUNICH, Ujerumani

KIUNGO wa timu ya Bayern Munich, Thiago Alcantara, amekana taarifa zinazosema kuwa Zinedine Zidane yupo mbioni kuchukua nafasi ya Niko Kovac na kusema kwamba ni za uzushi.

Alcantara alizungumza kupitia kituo cha televisheni cha Cadena kuwa hizo ni tetesi tu na kakuna taarifa kama hizo licha ya presha kubwa inayowaandama ndani ya klabu hiyo kwa sasa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.