Saul: Mimi na Atletico ‘mpaka kifo’

Bingwa - - HABARI -

MADRID, Hispania

KUNGO wa mabingwa wa Ligi ya Europa, Atletico Madrid, Saul Niguez amesema soka lake atalimalizia kwenye timu hiyo na hana mpango wowote wa kuhama licha kuwa na tetesi za kutaka kujiunga na Barcelona.

Saul mwenye umri wa miaka wa 23, amekuwa tegemeo ndani ya kikosi hicho, kwa kuchangia sehemu kubwa ya mafanikio yao.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.