Straika Lille Metropole agombaniwa Ulaya

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

LONDON, England

STRAIKA matata wa Lille, Nicolas Pepe, ameamsha vita kali ya usajili baina ya vigogo Arsenal, Manchester United na Bayern Munich.

Pepe, mwenye umri wa miaka 23, amefunga mabao sita katika mechi tisa alizocheza Ligue 1 hadi sasa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.