Aston Villa kumbeba ‘fasta’ Hudson-Odoi

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

LONDON, England

KLABU ya Aston Villa imelenga shabaha yake kwa mshambuliaji kinda wa klabu ya Chelsea, Callum Hudson-Odoi, ripoti zimedai hivyo.

Winga huyo amekuwa hana uhakika wa nafasi katika kikosi hicho, licha ya kufanya vizuri mno kwenye ‘pre-season’.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.