GOFU

Bingwa - - IJUMAA SPESHO -

MASHINDANO ya gofu ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF) yanatarajiwa kufanyika wikiendi hii kwenye viwanja vya gofu vya Klabu ya Lugalo, Dar es Salaam, yakihusisha klabu mbalimbali na wachezaji binafsi.

Mwenyekiti wa Klabu ya Lugalo, Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo, alisema maandalizi ya mashindano hayo yanakwenda vizuri na wanatarajia wachezaji wengi kushiriki katika michuano hiyo mikubwa inayofanyika kila mwaka.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.