KIMEWAKA

Neymar, Rabiot wazichonganisha Barca na PSG

Bingwa - - HADITHI -

KLABU za Barcelona na PSG, uhusiano wao unazidi kuwa mashakani, baada ya mabingwa hao wa Ufaransa kushindwa kumpeleka mwakilishi wao katika moja ya shughuli za michezo zitakazofanyika Uwanja wa Nou Camp mwezi ujao.

Barcelona walishindwa kukataa kiasi cha pauni milioni 200 zilizowekwa na PSG, ambao waliwanyima Verratti...

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.