POGBA: CRISTIANO RONALDO NI MASHINE KUBWA

Bingwa - - MBELE -

KIUNGO wa timu ya Manchester United, Paul Pogba, ameuzungumzia uwezo wa nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo, kwa kumtania kuwa anafunga kirahisi mithili ya mtu anayekunywa maji.

Ronaldo, mwenye umri wa miaka 33, amefikisha mabao saba kwenye mechi 13 ambazo amecheza katika mashindano yote msimu huu, na Pogba aliisifu pia klabu yake ya zamani ya Juve kwa kumnasa mkali huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.