Bailey agonganisha vigogo England

Bingwa - - DONDOO -

MUNICH, Ujerumani

WINGA wa timu ya Bayer Leverkusen, Leon Bailey, ameziweka ‘bize’ klabu za Chelsea na Man Utd ambazo zinapigana vikumbo kupigania saini yake.

Mjamaica huyo kwa sasa hana furaha Leverkusen kutokana na nafasi finyu anayopata ya kucheza.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.