Arsene Wenger awakana AC Milan

Bingwa - - ALHAMISI SPESHO -

KOCHA wa zamani wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger, amezipuuzia taarifa zinazomhusisha kuwa yupo tayari kuinoa AC Milan, akidai ni ripoti zisizo na ukweli.

Wenger, mwenye umri wa miaka 69, amezikana taarifa hizo na kusema kuwa, hana mpango wowote wa kuifundisha timu hiyo, kwa sasa yupo ‘bize’ na maisha yake, baada ya kuikacha Arsenal.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.