Inzaghi maji ya shingo Bologna

Bingwa - - ALHAMISI SPESHO -

KOCHA wa timu ya Bologna, Filippo Inzaghi, atakuwa kwenye hali mbaya endapo atashindwa kupata ushindi kwenye mechi ya Serie A wikiendi hii dhidi ya Chievo.

Bologna imeshinda mechi mbili tu tangu msimu huu ulipoanza na wanashika nafasi ya mwisho katika timu ambazo ziko kwenye hatari ya kushuka daraja.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.