CHIRWA:

Bingwa - - HABARI - NA TIMA SIKILO

STRAIKA mpya wa Azam, Obrey Chirwa, amewapa ‘live’ mabosi wake wapya kuwa wasipompa haki yake kama waajiri wake wa zamani Yanga, atatimka kwenda kutafuta maisha kwingine.

Chirwa, amesajiliwa na Azam juzi kwa mkataba wa mwaka mmoja, ili kuboresha safu yao ya ushambuliaji kuelekea

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.