Straika Tottenham akataa ofa Hispania

Bingwa - - SPORTS - LONDON, England

MPACHIKAJI mabao wa Tottenham, Fernando Llorente, amesema hana mpango wa kurejea Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’.

Llorente mwenye umri wa miaka 33, aliwahi kucheza Athletic Bilbao, kabla ya kwenda Juventus na baadaye kusajiliwa Sevilla.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.