Ibrahimovic akataa ofa klabu za Ulaya

Bingwa - - SPORTS - LOS ANGELES, Marekani

FOWADI wa LA Galaxy raia wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic, amezipa kisogo ofa za kurejea Ulaya alikowahi kutamba na klabu kibao.

Awali, kulikuwa na tetesi kwamba ‘Ibra’ mwenye umri wa miaka 37 angetua aidha Manchester United au AC Milan wakati wa mapumziko ya Ligi Kuu ya Marekani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.